Imewekwa: 22 Aug, 2025

Ifuatayo ni Orodha ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na kozi za Cheti (Certificate) na Diploma kwa Awamu ya Kwanza (Round 1) ya maombi ya vyuo kwa muhula wa Septemba 2025 katika Kampasi zetu sita za Dar es Salaam, Tabora, Mtwara, Singida, Tanga na Mbeya.
•    Orodha ya waliochaguliwa awamu ya kwanza – Kampasi ya Dar es Salaam
•    Orodha ya waliochaguliwa awamu ya kwanza – Kampasi ya Tabora
•    Orodha ya waliochaguliwa awamu ya kwanza – Kampasi ya Mtwara
•    Orodha ya waliochaguliwa awamu ya kwanza – Kampasi ya Singida
    Orodha ya waliochaguliwa awamu ya kwanza – Kampasi ya Tanga
•    Orodha ya waliochaguliwa awamu ya kwanza – Kampasi ya Mbeya


📌 MUHIMU:
Ili kupata barua ya kujiunga na chuo pamoja na maelekezo ya msingi (Joining Instructions), muombaji anatakiwa kuingia (login) kwenye akaunti yake ya Online Application System kupitia kiungo:: https://oas.tpsc.go.tz/login/
Tunawatakia maandalizi mema!

Tunawatakia maandalizi mema!

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo