A:Mchanganuo wa Ada.
| Na. | Jina la Kozi | Ada kwa Mwaka (Tsh) |
| 1. | Astashahada/Cheti cha Awali katika Usimamizi Rasilimali Watu | 900,000/= |
| 2. | Astashahada/Cheti cha Awali katika Utawala wa Umma | 900,000/= |
| 3. | Astashahada/Cheti cha Awali katika Uhazili | 900,000/= |
| 4. |
Astashahada/Cheti cha Awali katika Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu. |
900,000/= |
| 5. | Astashahada/Cheti cha Awali katika Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi | 900,000/= |
| 6. | Diploma ya Usimamizi wa Rasilimali Watu. | 1,100,000/= |
| 7. | Diploma ya katika Utawala wa Umma | 1,100,000/= |
| 8. |
Diploma ya Uhazili |
1,100,000/= |
| 9. | Diploma ya Utunzaji wa Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa | 1,100,000/= |
| 10. | Diploma ya Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi | 1,100,000/= |
| 11. | Shahada ya Utunzaji wa Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa | 1,465,000/= |
| 12. | Shahada ya Uhazili na Utawala | 1,465,000/= |
B: Awamu za malipo.
Jumla ya Ada kwa NTA level 4 (cheti) ni TZS 900,000/= kwa mwaka; kwa kozi za NTA level 5 & 6 (Diploma) ni TZS. 1,100,000/= kwa mwaka; na kwa kozi za shahada ya kwanza ni TZS. 1,465,000/= kwa mwaka (mwaka wa kwanza na wa pili) na TZS. 1,515,000/= kwa mwaka wa tatu. Chuo kinaweza kukubali kupokea malipo kwa awamu kama ifuatavyo:-
|
Ngazi |
Kiasi cha Ada |
Muda wa Kulipa |
|
Astashahada/Cheti cha Awali |
Muhula wa kwanza; TZS 500,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa kwanza |
|
Muhula wa pili; TZS 400,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa pili | |
|
Diploma mwaka wa kwanza |
Muhula wa kwanza; TZS 600,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa kwanza |
|
Muhula wa pili; TZS 500,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa pili | |
|
Diploma mwaka wa pili |
Muhula wa tatu; TZS 600,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa tatu |
|
Muhula wa nne; TZS 500,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa nne | |
|
Shahada ya kwanza (mwaka wa kwanza) |
Muhula wa kwanza; TZS 765,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa kwanza |
|
Muhula wa pili; TZS 700,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa pili | |
|
Shahada ya kwanza (mwaka wa pili) |
Muhula wa tatu; TZS 765,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa tatu |
|
Muhula wa nne; TZS 700,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa nne | |
|
Shahada ya kwanza (mwaka wa tatu) |
Muhula wa tano; TZS 815,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa tano |
|
Muhula wa sita; TZS 700,000/= |
Kabla ya kujisajili muhula wa sita |

