- Kuwapa washiriki Utangulizi juu ya Mifumo na Vifaa vya Tehama
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi ya anwani za barua pepe (e-mail)
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi ya vitunza au vihamisha kumbukumbu kutoka kifaa kimoja kwenda kingine
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi ya mitandao na intaneti
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi mifumo ya kompyuta ya serikali
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi ya “anti-virus”
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi ya vifaa vya tehama
- Kutoa mwongozo juu ya Matumizi ya vifaa vya tehama
- Kutoa mwongozo juu ya mambo ya ujumla ya kuzingatia
- Utangulizi juu ya Mifumo na Vifaa vya Tehama
- Matumizi ya anwani za barua pepe (e-mail)
- Matumizi ya vitunza au vihamisha kumbukumbu kutoka kifaa kimoja kwenda kingine
- Matumizi ya mitandao na intaneti
- Matumizi ya mifumo ya kompyuta
- Matumizi ya “anti-virus”
- Matengenezo ya vifaa vya tehama
- Uhakiki wa vifaa vya tehama
- Mambo ya ujumla ya kuzingatia
Maafisa Tehema, Wakuu wa Idara za serikali, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Halmashauri, Waandishi, Waendesha Ofisi, Wasaidizi wa Watendaji Wakuu, na Watunza Kumbukumbu na Nyaraka
Tzs. 700,000
0717403358
0713629626