
.......................................................................
MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA

MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
Picha ya baadhi ya wahitimu wa kozi mbalimbali wakati wa mahafali ya 37

HOTUBA YA MGENI RASMI - MAHAFALI YA 37
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa hotuba wakati wa mahafali ya 37.

MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini, Mhe. Hashim Mgandilwa akitoa salaam za Mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga wakati wa Mahafali.

MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiementi ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akitoa salamu wakati mahafali ya 37 yaliyofanyika Kampasi ya Tanga terehe 3 Juni, 2023.

MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania , Dkt. Florens Turuka akitoa salamu wakati ya Mahafali ya 37 yaliyofanyika Kampasi ya Tanga.

MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
Kaimu Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Ernest Francis Mabonesho akiwasilisha taarifa kuhusu mahafali ya 37 yaliyofanyika Kampasi ya Tanga terehe 3 Juni, 2023

35TH TPSC WORKERS COUNCIL MEETING
Acting Rector and Chief Executive Officer of the Tanzania Public Service College, Dr. Ernest Mabonesho (seated in the middle), who is the Chairman of the TPSC Workers Council, poses for a group photo with some members of the 35th Workers Council Meeting held in Bagamoyo from April 24th to 25th, 2023. To his left is the Secretary of the Council, Ms. Juliana P. Mwalusamba, and to his right is the Assistant Secretary of the Council, Mr. Ramadan Kauzeni.

Library and Computer Laboratory building at TPSC Tabora Campus

Mbeya Campus

Mtwara Campus

Tanzania Public Service College Dar es Salaam Campus
.