Karibu katika tovuti rasmi ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC). Tovuti hii itakusaidia kufahamu zaidi kuhusu Chuo chetu, huduma tunazotoa na mchango wetu katika kuimarisha utumishi wa umma nchini. Katika TPSC, tunatoa mafunzo ya muda mrefu na mfupi kwa watumishi wa umma na wadau wengine. Vilevile, tunafanya tafiti tumizi na kutoa huduma za ushauri wa kitaalamu. Kupitia huduma hizi, tunalenga kujenga maarifa na stadi zitakazosaidia kuimarisha utumishi wa umma na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Ili kusogeza huduma karibu na wateja na wadau wetu, tuna kampasi sita zilizopo Dar es Salaam, Tabora, Mtwara, Singida, Tanga na Mbeya. Kupitia tovuti hii, utapata taarifa kuhusu programu za mafunzo, udahi...
22
BODI YA USHAURI YATEMBELEA MARADI WA UJENZI WA KAMPASI YA TANGA
Tazama
538
MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA CHUO
Tazama
30
KINGAMANO LA PILI LA UTUMISHISHI WA UMMA TANZANIA
Tazama
12
KIKAO CHA 41 CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI
Tazama
9
HATI YA MAKUBALIANO YA MASHIRIKIANO YA KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA TANZA...
Tazama
12
CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KAMPASI YA SINGIDA CHATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALU...
Tazama
121
MHE. KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KAMPASI YA TANGA
Tazama
16
MDAHALO WA KITAALAMU KUHUSU MATUMIZI YA AI KATIKA SEKTA YA UMMA
Tazama
36
MAHAFALI YA 42 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
Tazama
Mrejesho, Malalamiko au Wazo