Na Kozi Ada ( Tzs)
1 Shahada ya Utunzaji wa Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa. 1,455,000/=
2 Shahada ya Uhazili na Utawala. 1,455,000/=
3 Diploma ya Usimamizi wa Rasilimali Watu. 1,095,000/=
4 Diploma ya Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi. 1,095,000/=
5 Diploma ya Uhazili  1,095,000/=
6 Diploma ya  Utunzaji wa Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa.  1,095,000/=
7 Diploma ya  katika Utawala wa Umma 1,095,000/=
8 Astashahada/Cheti cha Awali katika Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu. 895,000/=
9 Astashahada/Cheti cha Awali katika Uhazili 895,000/=
10 Astashahada/Cheti cha Awali katika Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi  895,000/=
11 Astashahada/Cheti cha Awali katika Utawala wa Umma  895,000/=
12 Astashahada/Cheti cha Awali katika Usimamizi wa Rasilimali Watu. 895,000/=
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo