- Kuelewa dhana nzima ya rushwa mahala pa kazi.
- Kuelewa uhusiano uliopo baina ya rushwa, maadili na uzalendo.
- Kujua namna ya kupambana na rushwa mahala pa kazi.
- Kuelewa athari za rushwa mahala pa kazi.
- kujua mbinu na stadi za kuzuia/kuepuka uvujaji wa siri mahala pa kazi.
|
Wajumbe wa Bodi ya Zabuni, Watumishi wa Idara/Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Maafisa Sheria, Wahasibu, na Wakaguzi wa Ndani
650,000
0756666550
0715932289