• Kuelewa umuhimu wa kutunza kumbukumbu, nyaraka kwa kuzingatia siri katika utumishi wa umma na athari za kuvujisha siri za ofisi.
  • Kufahamu  aina za siri kwa kuzingatia rangi za majalada na namna ya kuzitunza.
  • Kufahamu uifadhi wa funguo za ofisi kwa usalama wa Taasisi
  • Kutambua mazingira ya kitaasisi na tabia binafsi zinavyopelekea utoaji wa siri za Taasisi na namna ya kuvihepuke
  • Kutambua Sheria, Kanuni na miongozo inayoelekeza juu ya Utunzaji wa siri, na kufahamu adhabu za kisheria.
  • Maana ya Kumbukumbu na Siri
  • Misingi ya Kisheria ya Utuzaji wa Kumbukumbu na nyaraka
  • Umuhimu wa kumbukumbu na nyaraka
  • Aina za kumbukumbu kwa kuzingatia unyeti wa Taarifa na mbinu za kuzihifadhi.
  • Mawasiliano ya Kiofisi kwa kuzingatia siri za ofisi
  • Sababu za Utunzaji wa siri katika ofisi za umma
  • Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utunzaji siri na adhabu zake
  • Utuzaji wa funguo za ofisi ili kudumisha usiri wa ofisi
  • Mazingira ya Kitaasisi na tabia binafsi zianzopelekea utoaji wa siri na namna ya kuviepuka
  • Mbinu za kutunza siri katika teknolojia mpya (TEHAMA) na vifaa vyake

Maafisa  Waendesha Ofisi, Watunza kumbukumbu, Wasaidizi wa Ofisi Madereva na Maafisa wa Mapokezi

Tzs. 600,000

0745221050
0765122482

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo