Mwaka 2025, Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kinasherehekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwake rasmi mwaka 2000, ikiwa ni muendelezo wa maboresho makubwa katika sekta ya utumishi wa umma. Katika Makala hii tunaangazia Chimbuko, malengo na mafanikio ya chuo cha Utumishi wa umma Tanzania
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo