Imewekwa: 23 Oct, 2025
Ifuatayo ni Orodha ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree) katika Kampasi ya Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHAHADA YA KWANZA
📌 MUHIMU:
Ili kupata barua ya kujiunga na chuo pamoja na maelekezo ya msingi (Joining Instructions), muombaji anatakiwa kuingia (login) kwenye akaunti yake ya Online Application System kupitia kiungo:: https://oas.tpsc.go.tz/login/
Tunawatakia maandalizi mema!