Imewekwa: 22 Dec, 2025

Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), kinawatangazia watumishi wote wa Umma wanaotarajia kufanya mitihani ya Utumishi wa Umma kwa mwezi Machi, 2026 kuwa kozi ya mapitio ya mitihani itafanyika kuanzia tarehe 30 machi hadi 17 Aprili, 2026 kwa watahiniwa watakaohudhuria kwa njia ya ana kwa ana na kwa upande wa mapitio kwa njia ya mtandao yataanza tarehe 3 Machi hadi 10 Aprili, 2026 na kufuatiwa na mitihani itakayofanyika kuanzia arehe 20 hadi 24 Aprili, 2026 katika vituo vyote vya Dar es Salaam, Tabora, Mtwara, Singida, Tanga, Mbeya na Dodoma.

 

BONYEZA HAPA KUPATA MAELEZO ZAIDI

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA MAOMBI

BONYEZA HAPA KUPAKUA RATIBA YA MITIHANI

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo