13 Nov, 2024
08:30 AM-02:00 PM
MBEYA CAMPUS
Mahafali ya arobaini (40) ya Chuo cha Utumishi wa Umma kwa Kampasi zote yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa, tarehe 6 Desemba 2024 katika ukumbi wa Mkapa uliopo eneo la Sokomatola, jijini Mbeya kuanzia saa tatu (03.00) Asubuhi.
Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb).
WOTE MNAKARIBISHWA
