Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania anawaalika wahitimu wa kidato cha Sita na Ngazi ya Stashahada wenye sifa kuomba nafasi ya mafunzo ngazi ya Shahada ya Kwaza (Bachelor's Degree) kwa kozi za;
1. Utunzaji Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa (Bachelor’s degree in Records, Archives and Information Management), na;
2. Uhaili na Utawala (Bachelor’s degree in Secretarial Studies and Administration).
BONYEZA HAPA KUFAHAMU SIFA ZA KUOMBA PROGRAMU ZA SHAHADA YA KWANZA
Maombi yote yafanyike kupitia mfumo wa maombi kwa njia ya mtandao (Unline Application System) unaopatikana katika link hapa chini.
BONYEZA HAPA KUOMBA NAFASI YA MASOMO NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA