Imewekwa: 04 Jul, 2024

Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kinawatangazia watumishi wote wa Umma wanaotarajia kufanya mitihani ya Utumishi wa Umma kwa awamu ya Agosti 2024 kuwa mafunzo kabla ya mitihani yatafanyika kuanzia tarehe 29 Julai, 2024 hadi tarehe16 Agosti, 2024 na kufuatiwa na mithani itakayofanyika kuanzia tarehe19 hadi 23 Agosti, 2024. katika vituo vyote vya Dar es Salaam, Tabora, Mtwara, Singida, Tanga, Mbeya na Dodoma.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo