Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania anawaalika:
1. Waombaji wenye sifa za kusoma kozi za Cheti na Diploma zinazotolewa na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania KUTUMA MAOMBI; na
2. Wahitimu wa Kidato cha NNE wa Mwaka 2023 waliopangiwa kujiunga na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania KUTHIBITISHA nia yao ya kujiunga na Chuo.
Tafadhali fuata maelekezo yafuatayo:
KWA WAOMBAJI WAPYA:
Endapo una nia ya kuomba nafasi ya kusoma kozi ngazi ya Cheti na Diploma, bonyeza "link hapa chini":
KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WALIOPANGIWA NA TAMISEMI KUJIUNGA BA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA:
Bonyeza "link hapa chini" KUTHIBITISHA pamoja na kupata maelekezo muhimu ya kujiunga na chuo.