Imewekwa: 20 Jun, 2025
Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania anapenda kuwapongeza kwa wanafunzi wote wa Kidato cha Nne waliomaliza mwaka 2024 na kuchaguliwa na TAMISEMI kujiunga na mafunzo katika chuo hiki katika fani mbalimbali.
Ili kuthibitisha nafasi yako ya kujiunga na chuo, tafadhali tembelea kiunganishi kifuatacho na ujaze taarifa zinazohitajika:
👉 https://oas.tpsc.go.tz/tamisemi_confirm AU BONYEZA HAPA KUTHIBITISHA
Ni baada ya kuthibitisha kupitia kiunganishi hicho ndipo utakapopokea maelekezo rasmi ya kujiunga na chuo.
Tunawakaribisha nyote katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania.